Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea na wadau wa
michezo wakati wa uwekaji saini wa msaada wa fedha wa Shillingi Bilioni
2.1 baina ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) na Kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL), kulia ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia) akizungumza wakati wa mkutano wa
kuweka saina msaada wa fedha kiasi cha Shillingi Bilioni 2.1
zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kuisadia timu ya Taifa
Stars,katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi.
Helene Weesie.
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akimshuhudia Rais wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal malinzi (kulia) akiweka saini
hati ya makabidhiano ya ya pesa Shillingi Bilion 2.1 zilizotolewa na
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa ajili ya kuisaidia timu ya Taifa
Stars leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL
Bibi. Helene Weesie.
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akishudia Rais wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia) na Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bibi. Helen Weesie
(kushoto) wakibadilishana hati baada ya kuweka saini leo Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu (TFF) Jamal Malinzi(wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bibi. Helen (wa kwanza kulia) Weesie
wakipeana mkono baada ya kukabidhi hundi ya Shillingi Bilioni 2.1
kusaidia timu ya Taifa Stars ,wa pili kulia ni Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na wa Kwanza kushoto
ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw.Yussuph Singo.Picha na
Lorietha Laurence-WHUSM.
EmoticonEmoticon