Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali
(hawaonekani pichani) waliohudhuria katika Dhifa ya Kitaifa
aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Mama Janeth Magufuli (Mke wa Rais),
Mama Sizakele Zuma wakwanza kulia (Mke wa Rais wa Afrika Kusini) wakati
nyimbo ya Taifa ikipigwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa
Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akiwa amemshika mkono Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim wakati
akizungumza jambo na Rais Msaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa
mara baada ya kumalizika kwa Dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na mgeni wake
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati Bendi ya Kilimanjaro “Wana
njenje” ilipokuwa ikitumbuiza katika Ukumbi wa Ikulu katika Dhifa ya
Kitaifa aliyoandaliwa Rais Zuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na mgeni wake
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati Bendi ya Kilimanjaro “Wana
njenje” ilipokuwa ikitumbuiza katika Ukumbi wa Ikulu katika Dhifa ya
Kitaifa aliyoandaliwa Rais Zuma.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mghwira mara
baada ya Dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam, Pembeni ni Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Afrika Kusini
Jacob Zuma mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais huyo wa
Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali wa Kisiasa na
Serikali wakiwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon