Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimpa maelekezo Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Eng. Mgeni
Mwanga juu ya upandaji nyasi kwenye eneo la katikati ya barabara wakati
akikagua ujenzi wa barabara ya Sakina hadi Tengeru jijini Arusha, Mei 4,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Bw. Joshua Nassari wakati
alipokwenda kukagua ujenzi wa barabara ya Sakina hadi Tengeru jijini
Arusha, Mei 4, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, bw. Mrisho
Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya Cheil
Engineering ambayo inajenga barabara ya Sakina-Tengeru, Bw. Shin Pil Soo
(wa pili kushoto). Kulia ni Mbunge wa Arumeru Mashariki, Bw. Joshua
Nassari na wa pili kulia ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha,
Eng. Mgeni Mwanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akitoa tahadhari juu ya gema lililopo kwenye daraja la mto Ndoruma mara
baada ya kukagua ujenzi wa daraja hilo katika barabra ya kutoka sakina
hadi Tengeru jijini Arusha, Mei 4, 2017. Kushoto kwake ni Meya wa
Arusha, Bw. Calist Lazaro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon