Kufuatia kifo cha KATIBU mkuu wa Chama cha mapinduzi mkoa wa Tanga ngugu SULEMANI SANKWA,Taasisi ya Marafiki wa Maendeleo Handeni, imeamua kuahirisha bonaza lake mpaka litakapotangazwa tena ambalo lilipangwa lifanyike kesho jumamosi ya tarehe 21-12-2024.
Bonanza hili lilikuwa maalum kwa ajili ya kufunga WIKI YA MMAHA iliyoanza tarehe 16-12-2024.
Taasisi ya MMAHA inatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kutokana na msiba huu mzito.
Kwa kipekee TAASISI YA MMAHA inatoa pole kwa Chama Cha mapinduzi kwa kumpoteza kiongozi hodari, jasiri na mchapakazi.
![]() |
CPA YASIN MOHAMED SAMSIMBAZI, Mratibu MMAHA. |
Mwenyezimungu aiweke roho ya MAREHEMU wetu mahala pema PEPONI. AMINA.
Imetolewa na,
CPA YASIN MOHAMED SAMSIMBAZI,
Mratibu MMAHA.
20-12-2024.
Imetolewa na,
CPA YASIN MOHAMED SAMSIMBAZI,
Mratibu MMAHA.
20-12-2024.
EmoticonEmoticon