LORI LADONDOKA NA KUFUNGA BARABARA KARIBU NA DARAJA LA WAMI

May 05, 2017

 ABIRIA na Wananchi wakiwa na askari wakiangalia namna lori lilivyoanguka na kuziba barabara ya kuelekea Mto Wami na kusababisha usumbufu kwa abiria waliokuwa wakitumia barabara hiyo kwa safari zao


ABIRIA wakiangalia namna lori lilivyoanguka na kuziba barabara ya kuelekea Mto Wami na kusababisha usumbufu kwa abiria waliokuwa wakitumia barabara hiyo kwa safari zao

 Lori likiwa limeanguka kwenye barabara ya kuelekea mto Wami leo na kusababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanaoitumia barabara hiyo
Msururu wa magari baada ya lori kuanguka kwenye barabara ya kuelekea wami darajani mapema leo

Taarifa kwa Hisani ya Mdau wa Blog hii Edgar Mdime.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »