Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma wakati wa Nyimbo za Mataifa mawili (Tanzania &
Afrika Kusini) zikipigwa katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akipita kukagua Gwaride la Heshima aliloandaliwa na Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za
asili vilivyokuwa vikitumbuiza ndani ya viwanja vya Ikulu kwa Heshima
ya ugeni huo wa Rais wa Afrika Kusini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma kabla ya kuanza mazungumzo yao Rasmi Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano
kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya Kimaendeleo yahusuyo mataifa
hayo mawili ya Tanzania na Afrika Kusini.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada
ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma kabla ya kuanza kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake wakati akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipiga ngoma wakati alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akizungumza jambo na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya
kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais
Dkt. John Pombe Magufuli
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Mama Sizakele Zuma Mke wa Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma mara baada ya kufika ofisini kwake Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akifurahia jambo pamoja na Mama Sizakele Zuma Mke wa Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma aliyeambatana na msaidizi wake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Vikundi vya Matarumbeta vikitoa
burudani wakati Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alipowasili Ikulu
jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon