Mhe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa
Mhe:Zelote Stephen Zelote wa kwanza kushoto akimpokea kaimu katibu mkuu
UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipowasili ofisi za Mkoa kuzungumza Mambo mbali
mbali ya kimaendelea pamoja na Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2015.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka
Hamdu Shaka wa pili kulia akizungumza Mambo mbali mbali ya kimaendelea
pamoja na Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2015 pamoja na Mkuu wa Mkoa
wa Rukwa Zelote Stephen Zelote wa kwanza kulia.
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Mhe:Zelote Stephen Zelote wa kwanza kushoto akielezea
jinsi ilani ya Chama cha Mapinduzi inavyo tekelezwa katika mkoa wake kwa
Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipowasili Mkoani hapo
wakati akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoan Rukwa.
Ndg:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka
Hamdu Shaka wa kwanza kushoto akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa
Mhe:Zelote Stephen Zelotemara baada ya kumaliza
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka
Hamdu Shaka wa NNE Kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa
Rukwa Zelote Stephen Zelote wa nne kushoto pamoja na Viongozi
Mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Rukwa.
(Picha na FAHADI SIRAJI)
EmoticonEmoticon