Kamishna
Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba ya ufunguzi wa Bodi
ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji Tanzania katika Ukumbi
wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga, Dar es salaam leo Mei 31, 2017.
Baadhi
ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia hotuba ya Mgeni
rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma
ya Urekebishaji Tanzania katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza
Ukonga, Dar es salaam leo Mei 31, 2017.
Mkuu
wa Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji Tanzania ambaye pia ni
Katibu wa Bodi hiyo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza – SACP.
Gideon Nkana akitoa historia fupi ya Chuo.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi hiyo wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Dkt.
James Jesse akitoa neno la shukrani baada ya hotuba ya Mgeni rasmi.
Wajumbe
wa Sekretarieti ya Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji
Tanzania wakitekeleza majukumu yao katika hafla ya uzinduzi wa Bodi
hiyo.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa(wa kwanza kulia) akiteta jambo na
baadhi ya Wajumbe wa Bodi kabla ya uzinduzi rasmi uliofanyika Bwalo Kuu
la Maafisa Magereza Ukonga, Dar es salaam leo Mei 31, 2017.
Wajumbe
wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji Tanzania
wakiongozwa na mwenyeji wao Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya
Urekebishaji Tanzania, SACP. Gideon Nkana(wa kwanza kulia) kutembelea
mazingira ya chuo hicho.
Muonekano wa mbele wa Chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Urekebishaji Tanzania.
Mgeni
rasmi Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Taaluma
ya Urekebishaji Tanzania. Walioketi kutoka kulia ni SACP. Gideon Nkana,
Godfrey Semango na Dkt. Zena Mabeho. Kutoka kushoto ni DCP. Ally
Lugendo, Bi. Catherine Jorome na Dkt. James Jesse. Waliosimama(kushoto)
ni SACP. Dkt. Kato Rugainunura(katikati) ACP. Charles Novart na wa
kwanza kulia ni SACP. Uwesu Ngarama(Picha zote na Kitengo cha Habari na
Mawasiliano – Jeshi la Magereza)
EmoticonEmoticon