Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
kitambaa pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego kuashiria uwekaji
wa jiwe la msingi katika Ujenzi wa Gati namba mbili litakayojengwa
katika Bandari ya Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Gati namba 2 katika
Bandari ya Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania Mhandisi Deusdedit Kakoko kuhusu eneo ambalo Bandari ya Mtwara
walikuwa wakilihitaji kutoka sehemu nyingine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Mhandisi Deusdedit
Kakoko kuhusu eneo ambalo Bandari ya Mtwara walikuwa wakilihitaji kutoka
sehemu nyingine.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saini katika kitabu cha wageni kabla ya kuweka jiwe la msingi katika
ujenzi wa Gati namba 2 litakalojengwa katika bandari ya Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa Newala George Huruma Mkuchika mara baada ya
kuwasili katika eneo la Bandari ya Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Mtkurugenzi Mkuu wa Benki
ya NMB Ineke Bussemaker wakikata utepe kuashiaria ufunguzi rasmi wa
Kituo cha Biashara cha Benki hiyo mkoani Mtwara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Mkurugenzi Mkuu wa Benki
ya NMB Ineke Bussemaker, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego wakipiga
makofi mara baada ya kufungua kituo hicho cha Kibiashara cha NMB mkoani
Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Ineke Bussemaker mara baada ya
kukifungua kituo hicho cha kibiashara mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mbunge wa Mtwara mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Maftah
Nachuma mara baada ya kufungua kituo hicho cha kibiashara cha Benki ya
NMB mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kwa Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu ujenzi wa Kituo cha
Afya cha Mnolela ambapo pia amechangia kiasi cha Shilingi milioni 15 na
akamuagiza Mbunge huyo kuchangia Shilingi milioni 10 kutoka fedha za
jimbo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika kijiji cha Madangwa katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mjumbe
wa Halmashauri kuu ya CCM na Mbunge mteule wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete akifUatilia hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati
aliposimamishwa njiani na Wanakijiji wa Madangwa katika jimbo la Mtama
mkoani Lindi. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon