Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha
Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kuwasili
kiwandani hapo kwa ajili ya kuzindua magari 580 ya kusafirisha saruji
nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmiliki wa Kiwanda cha
Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kumkabidhi barua
ya malalamiko kutoka kwa madereva wanaolalamikia utoaji wa ajira hizo
kiwandani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika viwanja hivyo vya
kiwanda cha Dangote kabla kuzindua magari 580 ya kiwanda hicho
yatakayosafirisha saruji nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji
cha Dangote Alhaji Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria uzinduzi
rasmi wa Magari makubwa ya kusafirishia Saruji kiwanda hapo. Kushoto ni
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmiliki wa Kiwanda cha
Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kukagua kiwanda
chake cha Saruji mkoani Mtwara.
Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha
Dangote Alhaji Aliko Dangote akimuonesha Rais Dkt. Magufuli sehemu ya
Kiwanda hicho pamoja na vifaa vyake mkoani Mtwara.
Rais Dkt. Magufuli akizungumza
jambo na mmiliki huyo wa Kiwanda akiwa na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji
cha Dangote Alhaji Aliko Dangote wakipeperusha bendera kuashiria
uzinduzi rasmi wa Magari hayo 580.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka jiwe la msingi Mradi wa Kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya
kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wengine katika picha ni Mkuu
wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego na Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe kuashiria kuzindua kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya
kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wengine katika picha ni Mkuu
wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego na Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na wafanyakazi wa TANESCO mara baada ya kuweka jiwe la msingi
la kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi
na Mtwara kilichopo mkoani Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia kabla ya kuweka jiwe la msingi la kituo cha kupooza umeme kwa
ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara kilichopo mkoani
Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kituo hicho cha kupooza umeme
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya kwaresma katika kanisa la
Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya kwaresma katika kanisa la
Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwatakia heri waumini wa kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya kwaresma katika kanisa la
Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini hao wa kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na wanafunzi wa Shule za Sekondari mara baada ya kusali katika
kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon