Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania
Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha
kwa Rais leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania
Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha
kwa Rais leo,[Picha na Ikulu,] 15/03/2017.
EmoticonEmoticon