Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na
Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa Kikao kazi kwa Maafisa hao
kilichofanyika Mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Bibi Nuru
Millao akitoa mrejesho wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano kwa mgeni
rasmi wakati wa ufungaji wa hicho kwa Maafisa hao kilichofanyika Mjini
Dodoma.
Mkurugenzi Idara ya Habari
(MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa ufungaji wa
Kikao kazi kwa Maafisa hao kilichofanyika Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa vyeti kwa
kwa wadhamini kutoka TSN, TTCL, Multichoice Tanzania, TANAPA, SSRA mara
baada ya kumalizika kwa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kilichofanyika Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika
poicha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano Serikalini na wadhamini wa kikao
hicho mara baada ya kufungwa kwa kikao kilichofanyika Mjini Dodoma.
Baadhi ya Maafisa Mawasiliano
Serikalini wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel( Hayupo Pichani) wakati wa
ufungaji wa kikaokazi cha mafia hao kilichofanyika Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika
poicha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano Serikalini na wadhamini wa kikao
hicho mara baada ya kufungwa kwa kikao kilichofanyika Mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon