Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha Balozi wa Ujerumani
Nchini, Egon Kochanke na ujumbe wake, wawekezaji kutoka Denmark na
watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Mambo yaliyojadiliwa
katika kikao hicho ni pamoja na ujenzi wa kiwanda cha mbolea Kilwa
mkoani Lindi.
Watendaji kutoka Wizara ya
Nishati na Madini na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi
Juliana Pallangyo (hayupo pichani) katika kikao hicho.
Sehemu ya ujumbe kutoka Ujerumani
na wawekezaji kutoka Denmark wakifuatilia ufafanuzi uliokuwa unatolewa
na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (hayupo pichani) katika kikao
hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo akifafanua jambo katika kikao hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo (kulia) akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini, Egon
Kochanke (kushoto) kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
EmoticonEmoticon