Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka
kwa Balozi wa Cyprus hapa nchini Andreas Panayiotou ambaye makazi yake
yapo Muscat, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka
kwa Balozi wa Bangladesh hapa nchini Maj. Gen. Abdul Kalam Mohammad
Humayun Kabir mwenye makazi yake Nairobi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Bangladesh hapa
nchini Maj. Gen. Abdul Kalam Mohammad Humayun Kabir mwenye makazi yake
Nairobi mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Nepal hapa
nchini Amrit Bahadur Rai ambaye makazi yake yapo Pretoria Afrika Kusini
mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka
kwa Balozi wa Ecuador hapa nchini Benys Toscano Amores ambaye makazi
yake yapo Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ecuador hapa
nchini Benys Toscano Amores ambaye makazi yake yapo Addis Ababa nchini
Ethiopia mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka
kwa Balozi wa New Zealand hapa nchini Michael Gerrard Burrel ambaye
makazi yake yapo Pretoria nchini Afrika Kusini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka
kwa Balozi wa Congo Brazaville hapa nchini Guy Nestor Itoua ambaye
makazi yake yapo Kigali nchini Rwanda. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon