MWENYEKITI wa Baraza la Michezo ya
Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga,
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusiana na
mashindano ya vikosi vya ulinzi na usalama Tanzania itakayoanza kesho
mjini Zanzibar.
BAADHI ya waandishi wa habari
wakifuatilia mkutano wa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi
Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga uliofanyika
ukumbi wa mikutano katika uwanja wa Amani.
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la
Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) wakimsikiliza Mwenyekiti wao
Brigedia Jenerali Martin Kemwaga alipokuwa akizungumza na waandishi wa
habari.
Picha na Makame Mshenga – Maelezo Zanzibar.
EmoticonEmoticon