Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha Shirika la Uzalishaji mali la
Magereza ambapo katika Kikao hicho cha siku mbili Wakuu wa miradi
watapata fursa ya kuelezea maendeleo ya miradi mbalimbali ya shirika
hilo. Kikao hicho kimeanza leo Machi 15, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu
la Maafisa Magereza Ukonga – Dar es Salaam.
Baadhi ya Wakuu wa miradi
mbalimbali ya Shirika la Magereza wakifuatilia kwa makini maelekezo
kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa katika Kikao
kazi cha Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza(hayupo pichani).
Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa akimkaribisha Mkurugenzi wa Manunuzi wa Wizara ya Mambo
ya ndani ya nchi, Bw. David Mwangosi ambaye alimwakilisha Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi katika ufunguzi wa Kikao kazi hicho.
Meza Kuu ikiongozwa na Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia) akitolea ufafanuzi wa hoja
mbalimbali(kushoto) ni Mdhibi Mkuu wa Shirika la Magereza, ACP. Joel
Bukuku(katikati) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston
Sanga.
Mkuu wa Magereza Mkoa Mara, ACP. Goleha Masunzu akichangia hoja katika Kikao hicho.
Mkurugenzi wa Manunuzi wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya nchi, Bw. David Mwangosi ambaye alimwakilisha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi katika ufunguzi wa Kikao
kazi cha Shirika la Magereza (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na Wakuu wa Miradi ya Shirika la Magereza(wa pili toka kushoto)
ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa kwanza
kushoto) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga (wa
kwanza kulia) ni Naibu Kamishna wa Magereza, Edith Mallya (Picha zote na
Jeshi la Magereza).
……………
Suleiman Msuya
WAKUU waShirika la Uzalishaji Mali
la Jeshi la Magereza Tanzania wametakiwakuongezajitihadazauzalishaji
nakuwasilishataarifayautekelezajikilamiezimitatukwakatibumkuuwawizaraya
mambo yandaniyanchi.
KaulihiyoimetolewanaMkurugenziwaManunuziwaWizaraya
Mambo yaNdaninchini, David
MwangosiwakatiakizungumzanamakamandawashirikahilojanakatikaUkumbiwaBwaloKuu
la MaofisaUkongajijini Dar es Salaam.
Mwangosialisemashirikahilolinapaswakuwachachuyauzalishajiwamazaoiliyawezekutoshelezawafungwanajamiinyingine.
AlisemaiwapokilakiongoziatasimamiamajukumuyakenakuongezauwajibikajiniwazikuwauzalishajiutaongezekahivyokutimizamatarajioyaSerikaliyakuifikisha
Tanzania yaviwandanauchumiwakati.
Mkurugenzihuyoalisemakilaviongoziambaowanasimamiashirikahilowanapaswakuwawabunifukwakushawishiwadaumbalimbaliilikuwezakushirikianakatikamiradimbalimbali.
“NimekujahapakumuwakilishaKatibuMkuu,
MejeJeneralimstaafuProjestusRwegasiranaamesemahatakimzahakatikakazianatakakilabaadayamiezimitatumuwemnamleteataarifayashirikakatikakuzalisha,”
alisema.
Aidha, Mkurugenzihuyoamewatakamakamandawoteambaowanasimamiashirikanamiradikuhakikishakuwawanaanzishaviwandavidogovidogokwaninichachuyamaendeleo.
MwangosialisemawizaraipotayarikuunganishaJeshi
la Magereza Tanzania
nanchimbalimbaliambazozinawezakusaidiauanzishajiwaviwandavidogo.
Alisemawizaraipotayarikutoamafunzoiwapoitahitajikahasakwawafungwaambaowatakuwawanatumiwakatikaviwandahusika.
Kwaupandemwinginemkurugenzihuyowamanunuzialisemawapokatikaharakatizakulipamadeniyoteambayoyamewasilishwakwaoilikuondoamigogoronawadai.
Alisemapamojanakuahidikulipamadenihayopiaaliwatakawaandaajiwataarifakuzingatiausahihiilikuepukakusumbuliwamarakwamarakutokananakutoeleweka.
Kwaupande wake
KamishnaJeneraliwaMagereza (CGP), Dk.
JumaMalewaalisemajeshihilolinamiraditakribani23
yauzalishajihivyowanajipangailimiradihiyoiwenatija.
Alisemashirikahilolinajihusishanauzalishajiwamahindi,
maharage, mpunga, alizeti,
maziwananyamaambapokutokananachangamotombalimbaliyapomaeneoambayohajafanyavizuri.
Dk. Malewaalisemakutokananauhabawafedhanakuchelewakwaruzukuuzalishajiwambegu bora zakilimoumekuwaukishukamwakahadimwaka
“Mhemiwamgenirasmishughulizauzalishajikatikamiradiyaviwandavidogovidogozimeendeleakufanyavizuripamojanachangamotozauchakavuwamashinenamitambo,”
alisema.
Alisemakutokananamaendeleoyateknolojiaviwandavilivyopovinahitajimashinenamitamboyakisasailikukidhiuzalishajiwabidhaanaushindanikatikasoko.
KamishnaMalewaalisemashirikalinaendeleakutoachakulakwawafungwaambapohadikufikiaJanuarililikuwalimefikazaidi
y ash. bilioni 3.6 nadenikwataasisizaSerikalilikifikiazaidiya sh.
bilioni 3.
Dk.
MalewaalisemakwasasawanashirikiananaMfukowaHifadhiyaJamiiwa (NSSF) na
(PPF) kuendelezashamba la miwanaKiwanda cha SukariGereza la
Mbigirinapiawanarajiakuendeleza s Shamba la MbeguBagamoyolenyeekari 200.
EmoticonEmoticon