Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Mlezi wa Mkoa wa Tanga Kichama ndugu Hemed Suleiman Abdulla amewasili Mkoani Tanga kuhudhuria katika Maadhimisho ya miaka 49 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi yanayotarajiwa kufanyika kesho Febuari 5, 2026 katika Uwanja wa Stendi ya Bombani, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.




EmoticonEmoticon