Wakazi wa Tanga wakijisajili kupima afya zao kwa hiari zoezi lililofanyika viwanja wa Mkwakwani
jana.
Mratibu wa magonjwa yasiyoambukiza hospitali ya Bombo Tanga, Dr, Yassin Salim, akichukua maelezo kutoka kwa Mohammed Omar wakati w aupimaji afya kwa hiari zoezi lililofanyika uwanja wa Mkwakwani jana.
EmoticonEmoticon