UZINDUZI WA SOKO LA MATUNDA NA OFISI YA BARAZA LA MJI WETE PEMBA

January 08, 2017


soko-wete
  Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Soko la Matunda Wete leo katika Uzinduzi rasmi wa Soko hilo sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji Wete, katika sherehe za shamara shamara za  Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar.
soko-wete-1
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Soko la Matunda Wete leo katika Uzinduzi rasmi wa Soko hilo sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji Wete, katika sherehe za shamara shamara za  Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar.
soko-wete-2
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed alipowasili katika viwanja vya Soko la Matunda Wete leo katika Uzinduzi rasmi ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika sherehe za shamara shamara za  Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar.
soko-wete-3
 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe  kuashiria uzinduzi wa  Soko la Matunda   na Ofisi ya Baraza la Mji la Wete katika Shamara shamra za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais  wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman (wa pili kushoto).
soko-wete-4
 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd,Radhiya Rashid wakati alipolitembelea Soko la Matunda Wete Mjini Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kulizindua rasmi leo katika Shamara shamra za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar.
soko-wete-5
4399//// Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd,Radhiya Rashid wakati alipolitembelea Soko la Matunda Wete Mjini Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kulizindua rasmi leo katika Shamara shamra za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar.
soko-wete-6
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono Wananchi wa Wilaya ya Wete leo baada ya kulizindua rasmi Soko la Matunda na Ofisi ta Baraza la Mji Wete Mkoa wa Kaskazini ikiwa ni katika Shamara shamra za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,(katikati) Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd,Radhiya Rashid .
soko-wete-7Baadgi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Soko la Matunda na Ofisi ya Baraza la Mji Wete Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba ikiwa ni miongoni mwa Shamara shamara za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar.
soko-wete-8
Baadgi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Soko la Matunda na Ofisi ya Baraza la Mji Wete Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba ikiwa ni miongoni mwa Shamara shamara za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar.
soko-wete-9
Soko la Matunda Wete Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba likiwa tayari kwa matumizi ambapo leo limezinduliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika sherehe za shamara shamara za  Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 08Jan 2017.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »