Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira
wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha
Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika
katika uwanja wa Kambarage mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho
ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika
uwanja wa Kambarage mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwapungia mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon