Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na baadhi ya wanawake wa Njombe kabla ya kuondoka kwenye Ikulu
ndogo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo Januari 28, 2017.
Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na
kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Njombe, Luth Msafiri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Mkuu wa wilaya ya Njombe, Luth Msafiri kwenye Ikulu ndogo ya
Njombe baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo, Januari 28, 2017.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon