|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Mungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali
Assoumani walipokutana kwenye ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017
tayari kwa safari ya Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele
wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU). Rais Assoumani alikuwa
akitokea Comoro kupitia Dar es salaam. | | | | |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wafanyakazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati
akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria
Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU). |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Comoro nchini Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege
kuelekea Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa
Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU) |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa,
Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja
wa Afrika (AU).

wa Afrika (AU). |
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari
28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia,
kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika
(AU). |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
atika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege
kuelekea Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa
Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).
PICHA NA IKULU
Share this
EmoticonEmoticon