Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed wa pili kulia akitazama namna wananchi wanavyoshuka kwenye meli hiyo itakayopunguza adha na usumbufu kwa wananchi wanaosafiri kutoka mkoani Tanga kwenda Unguja na Pemba
Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed katikati akisalimiana na Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,
Tryphoni Ntipi wakati wa ujio wa meli hiyo kushoto ni
PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu.
Mazungumzo yakiendelea |
Mkurugenzi Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa vyombo vya majini (SUMATRA) Kaptain Mussa Mandia katikati akizungumza na waandishi wa habari kushoto ni Meneja Mkuu wa Azam Marine Husein Mohammed |
Nahodha wa Meli hiyo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufika Bandari ya Tanga. |
Vifaa vya uokozi wakati wa majanga ya ajali hivyo
Baadhi ya Sehemu ya VIP ndani ya Meli hiyo kama inavyo onekana
EmoticonEmoticon