Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo
(pichani) katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa
jina Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada
ya kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere katika kituo
hicho cha Amani na Usalama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea
katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Abba nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na
viongozi wa mataifa mabalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika
jengo jipya la kituo cha Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo
katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia.
EmoticonEmoticon