Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha Naibu Waziri wa
TAMISEMI Selemani Jafo aliyeambatana na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mhandisi
Mussa Iyombe kabla ya kuanza kwa kikao chao cha pamoja na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha pamoja na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani
Jafo pamoja na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
mara baada ya kutoka kwenye kikao cha pamoja kilicho wahusisha Naibu
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Katibu Mkuu wa TAMISEMI
Mussa Iyombe Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan mara baada ya kumaliza kikao chao kilicho wahusisha Naibu
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Katibu Mkuu wa TAMISEMI
Mussa Iyombe Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon