Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea na watumishi
wa Idara ya Mazingira katika Ofisi yake (hawapo pichani). Kushoto ni
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais (kulia) akiwa katika kikao kazi kati ya Idara ya Mazingira na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.
January Makamba. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Bw.
Richard Muyungi.
Sehemu ya Watumishi kutoka Idara
ya Mazingira wamkimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (hayupo pichani) katika kikao
kazi kilichofanyika Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.
Waziri Makamba (wa kwanza kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu Bw. Mbarak Abdul Wakil wakati wa kikao na Idara ya Mazingira.
EmoticonEmoticon