Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar (katikati)
wakisimama pamoja na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania
na Comoro ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya
Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya
Magharibi "A" Unguja leo.
Baadhi
ya Wafanyabiashara wa Visiwa vya Comoro wakisimama ulipopigwa Wimbo wa
Taifa wa Tanzania na Comoro katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara
baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali
alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki
Pembe Juma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed
Mahamoud pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili kufungua Kongamano
la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff
Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo.
Baadhi
ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi
wakikwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na
Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea
Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo.
Baadhi
ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi
wakiwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na
Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea
Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo.
Waziri
wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akitoa
maelezo katika Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania
lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya
Magharibi "A" Unguja leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne
katikati).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro
na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro
na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro
na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
leo.[Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon