Mkuu
wa Wilaya ya Maswa Dkt Seif Shekalaghe kushoto akikabidhi mwenge wa
uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu Kulia Mhe. Elieza Chilagali katika
kata ya Kobondo wilayani Meatu mkoani Simiyu mwishoni mwa wiki.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
(MB) wa Kisesa akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkimbiza mwenge
kitaifa kutoka kwa Bw. James Sadick Munguji kutoka Simiyu, katika Mbio
za Mwenge Wilayani Meatu mwishoni mwa wiki.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
(kushoto) kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bw. George
Jackson Mbijima na wajumbe wengine wakimsikiliza Bi Regina Anthon
katikati alikyeshika kipaza sauti ambaeni ni katibu wa kikundi cha lishe
cha mshikamao wilayani Meatu, wakati wa maonyesho ya shughuli za
kikundi hicho baadaya kuupokea Mwenge wa Uhuru katika mji mdogo wa
Mwandoya jimboni Kisesa.
Katika
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga
Mpina, kushoto kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Bw. George
Jackson Mbijima na wajumbe wengine pichani wakisikiliza ripoti ya
nidhamu katika Eneo la Nyakanja jimboni Kisesa Wilayani wakati wa Mbio
za mwenge mwishoni mwa Wiki. (Picha zote na Evelyn Mkokoi Afisa Habari
Ofisi ya Makamu wa Rais)