Rais
wa Rwanda, Paul Kagame (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa
Kwanza Sekta ya Mawasiliano na Tehama (ICT) Mwenyekiti wa Bodi ya
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Prof. Tolly Mbwette (kushoto) kwenye
maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere
sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe
Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wa pili
kushoto) Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo
kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya
40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini
Dar es Salaam. Kulia
ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara
viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia
ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara
viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo
kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya
40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini
Dar es Salaam. Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo
mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara
viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo
mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara
viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Pamoja na
Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (kulia). Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo
mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara
viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon