Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye
Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo ya ujumla kuhusu Mfuko
wa Pensheni wa LAPF katika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa.
Anayetoa maelezo ni Afisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko Bi. Rehema Mkamba.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye
Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa
Mifumo ya Kompyta wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yohana Nyabili kuhusu
upatikanaji wa taarifa za michango ya wanachama kupitia tovuti ya Mfuko
www.lapf.or.tz na simu za viganjani kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye
Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akionyeshwa taarifa yake ya michango ya
Hiari LAPF kwenye maonyesho ya biashara ya 40 ya kimataifa jijini DSM.
Anayemhudumia ni Afisa Mafao ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Irene
Michael.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye
Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo kuhusu shughuli za
uwekezaji za Mfuko wa Pensheni wa LAPF pamoja na mipango ya Mfuko kwa
kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, anayetoa maelezo ni Mkuu wa Kitengo
cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko Bw. James Mlowe.
EmoticonEmoticon