Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu
ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang wa kwanza kulia katika
Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma. Wakwanza kushoto ni Balozi wa
China hapa nchini Lu Youqing.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza
kikao cha pamoja na ujumbe wa Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang
katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang (watatu)
kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu ndogo ya
Chamwino mkoani Dodoma. Wengine katika picha ni Balozi wa China hapa
nchini Lu Youqing wakwanza kushoto, Waziri wa Fedha na Mipango Filipo
Mpango, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Suzan Kolimba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang watatu
kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu ndogo ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
kwa msisitizo mara baada ya kikao chake na ujumbe wa Rais wa Benki ya
Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana
jambo na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana kwa
furaha na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo
ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon