CHUO KIKUU CHA KIISLAMU CHA MOROGORO WASHIRIKI MAONESHO YA VYUO VIKUU, FROF. NDALICHAKO ATEMBELEA BANDA LA CHUO CHA KIISLAMU CHA MOROGORO.

July 20, 2016

Banda la Chuo cha Kiislamu cha Morogoro katika maonesho ya vyuo Vikuu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Vyuo vikuu hapa nchini(TCU)yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Julai 20,21,22 mwaka huu.  

Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akitembelea katika banda la chuo cha Kiislamu cha(MUMO) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Julai,20,21,n1 22 mwaka huu.

Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako  akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la Maonesho ya Chuo cha Kiislamu cha Morogoro(MUMO) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akipata maelekezo na Mwalimu wa Chuo cha Kiislamu cha Morogoro (MUMO) alipotembelea katika banda la Chuo hicho katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi wakipewa maelekezo walipotembelea katika banda la chuo cha Kiislamu cha Morogoro walipotembelea katika banda hilo katika maonesho yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa kituo cha confucius wa  Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro,Sun Xiaofei akitoa maelekezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Chuo Kikuu cha Kiislamu  cha Morogoro yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Mwalimu wa Taasisi ya Confucius iliyopo katika chuo kikuu cha Kiislamu cha Morogoro, Chang Yue akitoa maelekezo yanayoendelea katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 

No comments:

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »