Mtaalamu wa kuchoma nyama kutoka mkoani Arusha, Jackson Isaya akionesha ufundi wa kuchoma nyama katika Tamasha la Nyama choma lililofanyika ,viwanja vya Learders Dar es Salaam jana.
Wadau wa Windhoek wakipata kinywaji hicho katika tamasha hilo.
Mwonekano mpya wa bia ya windhoek.
Timu nzima ya kutoa huduma ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd wakati wa tamasha hilo.
Wadau wa Windhoek wakionesha kinywaji hicho wakati wakinywa. Kulia ni Meneja wa Kampuni hiyo, Mr Ruta, Kushoto ni mdau wa Windhoek kutoka Kilimanjaro, Nurudin Sagafu na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ya Mabibo, Jerome Rugemalira.
EmoticonEmoticon