MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akisisitiza jambo wakati wa semina ya waratibu wa CHF mkoa mzima wa Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo |
Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga wakiongozwa na Dr.Sana kulia wakifuatilia semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo. |
Mratibu wa CHF Mkoa wa Tanga,Apolinary Primus Rutakuburwa kulia akisisitiza jambo kwa waratibu wa CHF mkoa wa Tangawakati wa semina iliyokuwa na lengo la kuwajengea uwezo. |
EmoticonEmoticon