Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye ambaye pia ni
Mbunge wa CCM Jimbo la Mtama akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini
Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
Mbunge
wa CHADEMA Jimbo la Mlimba, Mhe. Susan Kiwanga akiwasili katika viwanja
vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei,
2016.
Mbunge
wa Viti Maalum CCM, Mhe. Martha Mlata (kushoto) akiwa ameongozana na
Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao
vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
Mbunge
wa Jimbo la Pangani (kulia) Jumaa Aweso akiwa ameongozana na
Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao
vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu
Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni wakiwasili
katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo
leo 27 Mei, 2016.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DODOMA.
EmoticonEmoticon