|
Baadhi
ya Wabunge wa Majimbo mbalimbali wakielekea katika Ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma tayari kwa vikao vya asubuhi leo 11 Mei, 2016. |
|
|
|
Mbunge
Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) pamoja na Mbunge wa
Arumeru Mashariki Joshua Nassari wakiwapungia mkono Wapiga picha
(hawapo pichani wakati wakiingia Bungeni kwa ajili ya vikao
vinavyoendelea mjini Dodoma. |
|
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akifurahiua jambo pamoja na
Wabunge wenzie nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. |
|
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira akiingia ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi mjini Dodoma. |
|
Naibu
Waziri, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhe.
Mhandisi Stella Manyanya akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini
Dodoma kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo. |
|
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OR-TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge
Bungeni mjini Dodoma. |
|
Naibu
Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Tate William Ole-Nasha
akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge Bungeni mjini Dodoma. |
|
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu
akisoma bajeti ya Wizara yake mbele ya Wabunge leo 11 Mei, 2016 mjini
Dodoma. |
|
|
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Uutumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) Bungeni mjini
Dodoma. |
(Picha zote na Benedict Liwenga, Dodoma)
Share this
EmoticonEmoticon