Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw.
Mark Bowman kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam,
Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw.
Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrtin wa Kampuni ya Bia Tanzania
(kulia) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam,
Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw.
Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrin ambaye ni Mkurugenzi Mkuu
wa Kampuni ya Bia Tanzania -TBL (kulia) ofisini kwake jijini Dar es
salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon