Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo katika chakula maalum kwa
Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo katika chakula maalum kwa
Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na viongozi wakiimba wimbo maalum alipokaribishwa na
vijana wa halaiki chakula maalum kwa Vijana hao walioshiriki Halaiki ya
sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
alipowaandalia katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Boara DKt.Mwinyihaji Makame
Mwadini akitoa neno la shukurani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa viongozi na
vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2016
kutimiza miaka 52 katika viwanja wa Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi wakitia chakula wakati wa hafla maalum ya chakula aliyowaandalia
Vijana walioshiriki katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika viwanja vya
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
Baadhi
ya Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za
Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula katika
hafla ya iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja leo,
Baadhi
ya Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za
Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula katika
hafla ya iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Baadhi
ya Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula maalum
iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja leo.
Hawa
ni miongoni mwa Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya
Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika
hafla ya chakula kilichondaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja
vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo
Baadhi
ya Viongozi walioshiriki katika hafla ya chakula cha mchana
alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa
Vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka
2016 kutimiza miaka 52 katika viwanja wa Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Unguja leo,
Picha na Ikulu.