UncategoriesRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA PAMOJA NA KUFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA WODI YA WAZAZI YA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI FEBRUARI 10,2016
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA PAMOJA NA KUFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA WODI YA WAZAZI YA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI FEBRUARI 10,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Februari
10,2016 akimjulia hali Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh
Abubakary Zubeir ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
kwa ajili ya matibabu Mufti
na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir akimuombea Dua Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada
ya Rais Dkt. Magufuli kumjulia hali Hospitalini hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiombewa Dua na ndugu na jamaa mbalimbali ambao walifika
Muhimbili kuwaona wagonjwa wao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akielekea katika Wodi ya Wazazi kufanya ukaguzi wa ghafla mara
baada ya kuwasili akitokea Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wazazi na
amewahidi kutatua kero zao ndani ya muda mfupi
EmoticonEmoticon