Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliohudhuria katika hafla
ya kuapishwa kwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa
Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Ndg,Hassan Khatib Hassan leo katika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete
Pemba.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Ndg ,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Ndg. Hassan Khatibu Hassan baada ya kumuapisha kuwa Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na
Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Wete Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa
Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Asha Abdalla baada ya kumalizika kwa
hafla ya kuapishwa Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu katibu wizara
hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon