Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola akizungumza na
viongozi wa TAKUKURU katika mkutano wa kazi na viongozi hao uliofanyika
makuu ya ofisi hiyo mapema leo. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
– Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa
umakini.
Baadhi ya waandishi wa habari na viongozi wa TAKUKURU wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa kazi wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika makuu ya ofisi hiyo mapema leo.
Mmoja wa viongozi wa TAKUKURU akijitambulisha kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kazi wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika makuu ya ofisi hiyo mapema leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akifungua mkutano wa kazi wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika makuu ya ofisi hiyo mapema leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akijibu hoja
zilizowasilishwa na viongozi wa TAKUKURU katika mkutano wa kazi wa
viongozi hao uliofanyika makuu ya ofisi hiyo mapema leo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wakaguzi wa kanda wa TAKUKURU mara
baada ya kufungua mkutano wa kazi wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika
makuu ya ofisi hiyo mapema leo.
EmoticonEmoticon