Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipowasili
kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano
Malum wa Wanarukwa na Katavi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majlaliwa na
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakifurahia ngoma baada ya kuwasili
kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano
Malum wa Wanarukwa na Katavi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakitazama badhi ya magari ambayo
baba wa taifa , Mwalimu Julius Nyerere aliyatumia kwenye miaka ya 1950
na 1960 baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari
20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo
Pinda akizungumza katika mkutano Maalum wa Wanarukwa na Katavi
uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akifungua mkutano Maalum wa Wanarukwa na Katavi kwenye ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Mikoa ya
Katavi na Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majliwa wakati
alipofungua mkutano maalum wa Wanarukwa na Katavi kwenye ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mstaafu
Mizengo Pinda akionyesha Tuzo Maalum aliyotuzwa na Wanarukwa na Katavi
katika mkutano wao maalum uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majalwa
kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20,
2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon