Jengo la ghorofa 16 laendelea kubomolewa Dar (picha)

February 08, 2016

Harakati za kubomolewa kwa jengo la ghorofa 16 lililoko kwenye Mtaa wa Indira Gandi jijini Dar es Salaam zinaendelea huku baadhi ya barabara na njia zinazopita kwenye eneo la jengo hilo zikiwa zimefungwa ilikupisha ujenzi huo.
Modewjiblog imetembelea eneo hilo ikishuhudiwa kwa harakati za ubomoaji huo ukiendelea huku baadhi ya nyumba na maduka yaliyopo karibu na jengo hilo wakiwa wamepisha na kufunga makazi yao. Taarifa za ubomoaji wa jengo hilo zinaeleza kuwa zitachukua muda mrefu kutokana na kuwa ubomoaji wake ambao unaanzia juu kabisa ya ghorofa utachukua muda.
jengo2Jengo hilo la ghorofa 16 linavyoonekana kwa mbali (katikati) kama lilivyopigwa pigwa picha mchana wa leo na  Andrew Chale wa modewjiblog.com
jengoJengo hilo linavyoonekana kwa picha ya mbali.
jengo4eneo la moja ya barabara iliyofungwa ilizuia shughuli zingine wakati wa ubomoaji wa jengo hilo unaoendelea kwa sasa.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »