Wasanii chipukizi wa Songea, Mary
na Mwana King Nizo wakitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko
lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha liliodhmaniwa na
Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi
Kikundi cha Ruvuma Kings toka
songea kikitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa
Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo
la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi
Kikundi cha Ruvuma Kings toka
songea kikitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa
Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo
la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi
Wacheza shoo wa bendi ya FM
Academia wakifanya yao kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja
wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye
lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi
Mc Edo wa Ebony fm akifanya yake
kwenye Tamasha la Mtikisiko liliofanyika mwishoni mwa wiki uwanja wa
Majimaji mjini Songea. Tigo ndio wadhaminiwa tamasha hilo.
Kiongozi wa bendi ya Fm Academia,
Nyoshi El Saadat akiwaongoza wacheza shoo wake kwenye Tamasha la
Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo
liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi
vya Ukimwi (VVU).
Sehemu ya wateja wa tigo wakipata burudani kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea.
EmoticonEmoticon