Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika makao
makuu ya Wizara ya Fedha(HAZINA) kwa ziara ya kushtukiza leo
mchana.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Servacius Likwelile.Rais
Magufuli alitembelea na kukagua ofisi zote wizarani hapo na kisha
kuongea na viongozi waandamizi.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akizungumza na viongozi waandamizi wa Wizara ya Fedha wakati alipofanya
ziara ya kushtukiza Wizarani hapo ambapo alitoa maagizo ya kuziba mianya
ya wakwepa kodi.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akiwa na wafanyakazi wawili wa Wizara ya Fedha ambao ni walemavu Bwana
Fundi Maruma na Frank Mkyama wakati Rais alipofanya ziara ya kushtukiza
wizarani hapo leo.(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon