Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizindua nembo mpya ya sukari inayotengenezwa na kiwanda cha Kilombero
Sugar Company iitwayo Bwana Sukari kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam Oktoba20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na baada ya viongozi wa Bodi ya Sukari Tanzania na viongozi
wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero baada ya kuwasili kwenye hoeli ya
Serena jijini Dar es salaam Oktoba 20, 2015 kuzindua nembo mpya ya
sukari ya kiwanda hicho IITWAYO Bwana Sukari . Kushoto ni Mkuu wa Mkoa
wa Dar es slaam, Meck Sadiki.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon