AFISA WA TAMWA BI SHIFAA SAID
AKIWAKARIBISHA WASHIRIKI MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAFUNZO YA UHARIRI
KWA AJILI YA KUIMARISHA AMANI YA NCHI YANAYOHUSIANA NA UCHAGUZI MKUU WA
MWAKA 2015 MAFUNZO YALIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA WIZARA YA HABARI
UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR.
WAHARIRI MBALI MBALI WALIOHUDHURIA
KWENYE MKUTANO ULIOANDALIWA NA TAMWA KWA KUSHIRIKIANA NA EUROPEAN
CENTRE FOR ELECTORAL SUPPORT (ECES) KATIKA UKUMBI WA WIZARA YA HABARI
UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR.
AFISA WA TAMWA BI MZURI ISSA
AKITOA TATHMINI YA MICHANGO MBALI MBALI KUTOKA KWA WAHARIRI
WALIOHUDHURIA KATIKA MKUTANO HUO ULIOFANYIKA UKUMBI WA WIZARA YA HABARI
UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR.
MKUFUNZI ALI SULTAN KUTOKA
ASSOCIATED PRESS AKITOA MADA INAYOHUSU UHARIRI WA HABARI KWA WASHIRIKI
KUTOKA VYOMBO MBALI MBALI JUU YA KUTOA HABARI ZA UHAKIKA KATIKA MKUTANO
WA WAHARIRI ULIOFANYIKA UKUMBI WA WIZARA YA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO
MJINI ZANZIBAR.
MKURUGENZI TUME YA UTANGAZAJI
ZANZIBAR AMBAE NI MWENYEKITI WA MKUTANO HUO CHANDE OMAR AKIFAFANUA JAMBO
KUHUSIANA NA TOFAUTI KATI YA MUHARIRI NA MUANDISHI WA HABARI KWENYE
MKUTANO HUO.
MKUU WA MRADI WA KUSAIDIA UCHAGUZI
SALAMA (ECES) UNAOFADHILIWA NA UMOJA WA ULAYA BI VICTORIA FLORINDER
AKITOA SHUKURANI KWA WAHARIRI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO.
MUANDISHI MUANDAMIZ SALIM SAID
AKICHANGIA MAADA KATIKA MKUTANO WA WAHARIRI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA
WIZARA YA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR.
MUHARIRI MKUU WA SHIRIKA LA MAGAZETI YA ZANZIBAR LEO RAMADHAN MAKAME AKICHANGIA MADA KWENYE MKUTANO HUO.
WASHIRIKI WA SEMINA, WAKUFUNZI NA WAFADHILI WAO KATIKA PICHA YA PAMOJA.
PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR HABARI MAELEZO.
EmoticonEmoticon