Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya
CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza
kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam
ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia
vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia mshindi wa
kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe
Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa Tume ya Uchaguzi
Jaji Damian Lubuva kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu
jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya
moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015
Mshindi wa kinyang’anyiro cha
Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke Pekee kwa
tiketi ya ACT Wazlendo Mama Anna Mghwira mara baada ya Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza rasmi matokeo
ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako yeye na Rais Jakaya
Mrisho Kikwete walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja
kupitia vituo vya televisheni. Dkt Magufuli amemshukur sana Mama Mghwira
na kumwita mkomavu wa siasa na mwana-Demokrasia wa mfano jioni hii
Oktoba 29, 2015
Mama Salma Kikwete akimpongeza
mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt
John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tais kutangaza
matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia
kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya
televisheni
jioni hii Oktoba 29, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya
CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza
rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako
walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo
vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015
Picha na IKULU
EmoticonEmoticon