Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya
Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na
wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi
wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya
Global education link (GEL) Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi
wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Mfanyakazi wa Global link education (GEL) wakiwakagua wanafunzi viambatanisho vyao muhimu ikiwemo viza, vyeti, na passport.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya
Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akibadilishana mawazo na
wazazi mara baada ya kuwasili katika katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi akifurahia jambo na wazazi wake.
Wanafunzi wakiingia sehemu ya kwenda kukaguliwa tayari kwa safari.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya
Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiambatana na wanafunzi
kuelekea sehemu ya ukaguzi.
Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha zoezi muhimu
EmoticonEmoticon