Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi, kufanya mkutano wa
kampeni jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga leo.
Umati
wa wananchi ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi
wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika katika leo katika jimbo
la Korogwe mjini leo.
Mgombea
Ubunge jimbo la Korogwe mjini Mary Chatanda akiomba kura wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanywa na Mama Samia katika jimbo hilo leo.
![]() |
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofayika kwenye Uwanja wa shule ya Msingi Mazoezi katika jimbo la Korogwe mjini leo |
Wasanii
wa bendi ya Hapa Kazi tu wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika Uwanja wa shule ya msingiMazoezi katika jimbo la
Korogwe mjini mkoani Tanga leo
Wasanii
waliopo katika kundi la Mama Sema na mwanao, Kamarade Ally Choky na
Snura wakiburudisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika
leo katika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga
Mgombea
Ubunge jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani, maarufu kwa jina la
Maji Marefu akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo
la Korogwe mjini mkoani Tanga leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwanadi
Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda na Mgombea Ubunge
jimbo la Korogwe Vijijini Stecen Ngonyaji maarufu wa jina la Maji Marefu
katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Korogwe mjini mkoani
Tanaga leo
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chadema Kata ya Mazoezi katika jimbo la Korogwe mjini
akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo
jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga. Kushoto ni Mama Samia na kulia ni
Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe Vijijini Steven Ngonyani.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa meza
kuu na Mgombea ubunge jimbo la Korogwe mjini Mary Chatanda wakati wa
mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo hilo mkoani Tanga
Wananchi
wakimsikiliza kwa makini mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama
Samia (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga
Wananchi
wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM
Mama samia suluhu Hassan katika eneo la Mombo, wakati akiwa njiani
kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni Lushoto katika jimbo la Korogwe
Jijijini, mkoani Tanga leo.
Wananchi
wakaiwa wamezuia msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia suluhu Hassan wakati akienda Kijiji cha Mwangoi, kuhutubia
mkutano wa kampeni katika jimbo la Korogwe Vijijini mkoani Tanga leo
Wananchi
wakiwa na bango la kumfagilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika Kijiji cha Mwangoi jimbo la Korogwe Vijijini leo.
Mbunge
wa Bumbuli mkoa wa Tanga, Januari Makamba akihutubia mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika Kijiji cha Mwangoi jimbo la Mlalo mkoani Tanga
leo
Vijana
wa kazi waliopo katika msafara wa kampeni za mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia wakionyeshana kameara ya kisasa wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbola Mlalo mkoani Tanga
Aliyekuwa
Mbunge wa jimbo la Mlalo, Brigedia Mstaafu, Hassan Ngwlizi, akimnadi
Mgombea mpya wa jimbo hilo, Rashid Shangazi katika mkutano wa kampeni
uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tanga leo.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
EmoticonEmoticon